Ajali ya Meli Zanzibar

MSIBA MKUBWA SANA, Meli ya abiria ya LCT Spice Islanders iliyokuwa ikielekea Pemba toka Unguja ikiwa imebeba watu wengi kuliko uwezo wake imepinduka na kuzama baharini na zaidi ya watu 1,500 wanahofiwa kufariki dunia. Watu 250 wameishaokolewa wakati maiti 100 zimepatikana.
0 comments:
Post a Comment