TANZIA READING ,BERKSHIRE UK
Picha ya Marehemu Alice Felician wakati wa uhai wake,
.
Kwa niaba ya Jumuiya wa watanzania Reading ,tunasikitika kuwapa taarifa za kifo cha Mtanzania mwenzetu Dada Alice Felician aliyekuwa akiishi hapa Reading -UK kilichotokea tarehe 05.04.2012 asubuhi huko Tanzania. Taarifa zaidi ya kuhusu kifo cha ALICE zitawaijia punde tutakapo pata habari kamili kutoka Tanzania .Kwa wale watakaohitaji kutoa mkono wa pole kwa wafiwa basi walisilina nao kupitia namba hapa chini.
Msiba kwa sasa upo 421A OXFORD ROAD READING.
No comments:
Post a Comment